Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, amewapigia magoti Wananchi wa Vijiji vya Msikiii na Munkhola katika Wilaya hiyo ikiwa ni msisitizo wa kuwaomba waondoke katika eneo walilovamia la hifadhi ya Msitu wa Munkhola ambalo limeanza kupata mmomonyoko wa ardhi unaoweza kusababisha madhara kama...