waoneeni huruma walimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…