Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au kupokea rushwa wakati wa kampeini na uchaguzi ili kufahamu adhabu wanazozipata .
Pia, Soma: Special...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo. ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu,.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza...
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao.
Kwa mujibu wa Sheikh...
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu.
Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya.
“Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
URUSI imepeleka taarifa ya kwamba majeshi na Serikali za Ukraine na Magharibi kuwa wana tumia satellite za kiraia kufanya shughuli za kijeshi.
Wameona jambo hilo liangaliwe na kushughulikiwa vinginevyo wataanza “KUZISHUSHA” (Quasi-civilian infrastructure may be considered a legitimate target...
Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu.
Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...