TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa...
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu.
Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
Unafiki wa waislamu, wao wanalazimisha sharia zao uzunguni, wakiguswa kidogo hung'aka sana, ila wao wachokozi, wana ugomvi na kila dini dunia hii, mavita vita kila mahali na ukizingatia uislamu ndio dini changa kati ya zote, dini iliyobuniwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla hapo hakuna sehemu...
Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi wa mwalo wa Mswahili Mkuyuni huku likiwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuwa watachukuliwa hatua za...
Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024.
Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
kufuatia kuchafuka kwa nchi ya Uingereza kwa vurugu za kibaguzi ambazo zimewalenga waafrika na waislamu kwa kias kikubwa, Mataifa kadhaa yameonya raia wake baada ya wafanya ghasia kulenga miaikiti baada ya shambulio la visu kusababisha vifo vya watoto wadogo wakike.
Baadhi ya nchi zilizo toa...
Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani.
Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki,
Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amewaonya wafungwa na mahabusu wote nchini kuacha tabia ya kujihusisha na uhalifu pindi wanapomaliza kutumikia vifungo vyao na kuachiwa huru jambo linalopelekea kurudi gerezani kwa mara nyingine.
Ametoa Onyo hilo alipotembelea na...
Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe.
Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
Kamanda Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema baadhi ya madereva wanavunja sheria za usalama barabarani kwa sababu ya namba za Serikali kama STK, STL, SM, PT na kulindwa na viongozi wanaowaendesha.
Amesema baadhi ya madereva hawafuati taaluma zao na wanajiamini kuzidi kiwango huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.