wapambanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Single mothers wapambanaji sana

    Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪 NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
  2. Nawasanua wasakatonge wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kuingia shop

    Wapambanaji wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kupata chombo kipya ngoja nikusanue labda unaweza kupata muongozo uanzie wapi 1. Kuna bank kama CRDB na MAENDELEO BANK wanatoa bajaj zenye rejesho nafuu kwa msaka tonge ila shida ipo kwenye vigezo...
  3. Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  4. Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
  5. M

    Uzi maalumu wa wazee wa machimboni, pori kwa pori ,visa na mikasa, hapa wapambanaji wataeleza mazonge waliyopitia sehemu mbalimbali,

    Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana, Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini, Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
  6. Usijizuie kuelewa hatifungani/bond za Serikali

    HATIFUNGANI/BOND/AMANA Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji. Mwekezaji anaponunua hatifungani, anaikopesha serikali au kampuni fedha yake kwa kipindi flani cha makubaliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…