wapambe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinjekitile Jr

    Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  2. K

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali

    wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu. Mara tuzo, mara matamasha , mara kachaguliwa kweli hili, mara birthday. Waziri wa elimu kapewa kwa...
  3. P

    Wagombea na wapambe wa wagombea CHADEMA tuelezeni sera zenu

    Wagombea na Wapambe wa wagombea chadema wamekuwa zaidi wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari! Kwa mustakabali wa maendeleo ya chama CHADEMA ni busara wakatwambia ni nini watafanya badala ya maneno matupu. Thabo mbeki aliwa hi kusema "don't...
  4. REJESHO HURU

    Mbowe na wapambe wake tuambieni kiasi gani mbowe alitumia kumsaidia Tundu Lissu tumlipe

    Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
  5. Mpwayungu Village

    Tarehe kumi walimu wakuu wote watakuwa dodoma, Ole wenu mkawe wapambe

    Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
  6. Mindyou

    Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

    Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi. Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika...
  7. ukwaju_wa_ kitambo

    Crew ya "Ugly faces" ilivyo wapiga mashuti wapambe nuksi

    "UGLY FACES" WALIVYO WAPIGA MASHUTI "WAPAMBE NUKSI" _________________ "Wapambe nuksi wapingwe mashuti...!! Eeeh Wapambe nuksi wapingwe mashuti..!!! Wapambe nuksi wapingwe mashuti...." 🎶🎶🎶🎶🎶🎶 "Wapambe Nuksi" ni moja Kati ya hit Song moja kali sana ambayo ilitutambulisha sisi kama " Ugly...
  8. Nyendo

    Pre GE2025 Barbara: Wapambe na Machawa wanaendesha siasa za Tanzania, watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu

    Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania. Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au...
  9. TUKANA UONE

    Wapambe Nuksi walikuwa zaidi ya Machawa

    Ukihitaji salamu subiri kwanza ninywe Zanzi baada ya kulewa nitamwaga Tanganyi yoote kwenye kadamnasi,hapo ndipo nitawapa HI!👋 Chawa katika kizazi hiki cha Z (Z Generation) wameendelea kujizolea umaarufu kama ambao mimi na ndugi zangu tuliupata pale STEERS, BILLCANAS au KWA MACHENI...
  10. Li ngunda ngali

    Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  11. Satoh Hirosh

    Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  12. P

    CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  13. Poppy Hatonn

    Waziri Biteko awaasa wapambe wake kuacha ushamba

    Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema. Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza...
  14. Jidu La Mabambasi

    Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  15. chiembe

    Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  16. Adharusi

    Wapambe wanavyojaribu kumchonganisha na Nduga na Rais Samia

    Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya...
  17. Imalamawazo

    Mwanasiasa sharti uwe na wafuasi siyo wapambe. Somo kutoka kwa Hayati Maalim Seif na Hayati Dkt. Magufuli

    Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana. Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
  18. Nyankurungu2020

    Tawala nyingi za kiafrika hunguka kutokana na Wakuu wa Nchi kupotoshwa na wapambe wao

    Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza . Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
  19. Evelyn Salt

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Kwenu mashemeji... Hadi sasa hajatokea bado mtu wa kuivunja rekodi ya mashemeji kwa upambe, mashemeji ni wapambe sana yani ni wapambe nuksi. Halafu tabia zao zinavyofanana unaweza kudhani lilikusanywa kundi la watu wakawekwa pamoja wakaambiwa nyie mtaitwa shemeji na tabia zenu zitakua hizi...
Back
Top Bottom