Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema.
Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza...