Heri kwenu wakuu.
Kwanza nianze Kwa kusema wakuu jibane bane ujenge uwe na kwako.hata kama ni chumba na sebule tu.Ni heshima kubwa mno kwako na hata Kwa demu/mke wako.
Kipindi hicho Sina ramani za maana nilipata chumba Kwa jamaa mmoja Hivi.
Chumba hakikuwa kizuri sana yaani Cha kawaida...
Naomba ufafanuzi,
Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi.
Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...