wapangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SMART DOOR LOCK (KIBOKO YA WAPANGAJI WASUMBUFU KULIPA KODI)-0746373222.

    KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT. 📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka. 📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu...
  2. Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

    Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
  3. M

    Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  4. B

    Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  5. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  6. Masaki na Oysterbay : Wapangaji Wagonga Chupa! Kodi kulipwa kwa Dolari!

    Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi. Nyumba za Oyesterbay na Masaki nyingi zilikuwa ni za umma/serikali watu wakauziwa bei ya soda, wao...
  7. Wenye nyumba wamekuwa na hii tabia Kwa wapangaji wao

    Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji...
  8. KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

    Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani. Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
  9. Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  10. Wapangaji wananila chabo msaada?

    Chabo vyuoni wanaita deo, yaani nimeleta wapangaji hawana miezi miwili ikifika saa sita naanza kuhondomola shemeji yenu nasikia kama panya anakwaruza ukuta. Mwanzo nkavumilia nkahisi pakaa sasa asbh ya leooo niliposikia nikampanga mke apige makelele ya mapenzi gafla nasikia dirisha...
  11. Nyumba ilikuwa inagombaniwa lakini sasa hakuna anayetaka kwenda kupanga, afanyeje?

    Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure! ==== Kutoka mtandaoni.... T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu. Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na...
  12. Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana...
  13. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  14. Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi. Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
  15. Kwanini wenye nyumba wanalazimisha wapangaji walipe Kodi kwanzia miezi 6?

    Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
  16. Madalali mnawaumiza Wapangaji

    Habari zenu, Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000. Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja. BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA...
  17. N

    Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

    Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya...
  18. Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

    Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia usafi, kuomba kuingiziwa nyimbo au muvi, n.k. (mbinu kibao) sambamba na kuwafunza mitego ya kuwazuzua...
  19. Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  20. NHC toa semina kwa wapangaji wako

    kuna watu wameishi NHC miaka zaidi ya 50, wanalipa kodi ndogo na hela wanazopata wanakula, hawajengi. ukitaka kuwaondoa wanasema twende wapi? mnatuonea rais tusaidie, mara mimi nimeishi miaka yote hapa mnataka niende wapi? tunahitaji NHC itoe semina kwa wapangaji wote kama ifuatavyo: 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…