Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys.
Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya...
Waparee mpoooo
Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya
Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya
BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu.
Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana.
Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same.
Ni mji unaoweza...
Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana.
Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila...
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana
Haya kwangu ni maajabu
Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
1. Eneo linaloitwa kavambughu.
Hapa tuliwapiga wambugu kwenye vita na eneo hili lipo mpaka leo.
2. Eneo linaloitwa Nkhoma ya mkwavi au fuvu la mmasai.
Hapa wamasai walituvamia ikapigwa vita kubwa tukawauwa wote tukashinda vita na eneo hili lingalipo mpaka leo.
3. Jiwe la mkumbavana.
Hili ni...
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla.
Ni hayo tu kwa leo.
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka.
Mfano kwachaga atasema naenda moshi. Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila...
Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza.
Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia.
Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza...
Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao
Ubahili
Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama haingizi hela, Ila ubahili wa wapare umezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo.
Pride
Wapare wanapride anaweza akawa zaidi ya makabila yote Tanzania, mpare...
Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika?
Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande.
Hapa naambiwa mme wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.