wapare

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys. Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya...
  2. WAPARE WAOMBA URAIA KENYA WATAKA KUTAMBULIWA RASMI

    Waparee mpoooo Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
  3. Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  4. Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

    Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana. Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same. Ni mji unaoweza...
  5. Kwanini sisi wapare hatujui football?

    Toka nizaliwe sijawahi kuona au kusikia mcheza mpira mkubwa Tanzania ligi kuu ni mpare kwanini? Naomba serikali ifanye utafiti.
  6. R

    Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

    Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana. Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila...
  7. Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  8. Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

    Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
  9. Yajue haya kuhusu sisi wapare mengine yakishujaa mengine yakusikitisha !

    1. Eneo linaloitwa kavambughu. Hapa tuliwapiga wambugu kwenye vita na eneo hili lipo mpaka leo. 2. Eneo linaloitwa Nkhoma ya mkwavi au fuvu la mmasai. Hapa wamasai walituvamia ikapigwa vita kubwa tukawauwa wote tukashinda vita na eneo hili lingalipo mpaka leo. 3. Jiwe la mkumbavana. Hili ni...
  10. Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

    Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
  11. Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

    Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka. Mfano kwachaga atasema naenda moshi. Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk. Ila...
  12. Kwanini Wapare ni wabahili wa kutunza pesa lakini pesa wanayoibana hawapendi kuiwekeza izae zaidi?

    Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza. Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia. Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza...
  13. Tofauti ya wachaga na wapare

    Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao Ubahili Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama haingizi hela, Ila ubahili wa wapare umezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo. Pride Wapare wanapride anaweza akawa zaidi ya makabila yote Tanzania, mpare...
  14. Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

  15. Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

    Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika? Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande. Hapa naambiwa mme wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…