wapenda magari mazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wimbi la ubakaji kwa watoto limekithiri, ni nini kinasababisha?

    Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
  2. Clearing and forwarding (logistics)

    DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading) Dn holdings company limited tunapatikana nkrumaha street p.O.Box 6924 dar es salaam na kamata stesheni ya train. Kwa mawasiliano...
  3. Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…