Wakuu,
Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.
Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana. Baada kuona sina mambo mengi sasa...