Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana๐
Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....๐๐ฟ
Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda au umeshafika tayari kwa mtoto wa mtu na tayari umesha... tayari ๐๐๐ฟ