Wanawake wana mambo ya ajabu sana yaani ni Ngumu mwanaume kumtafuta mwanamke aliyedate nae utotoni au aliyemtoa uschana wake yaani wanaume hua tukiamia kambi mpya hakunaga kutafuta wanawake wazamani labda ujilete mwenyewe
Ila wanawake sijui kwanini huwa wanakumbu kumbu nzito sana, yaani anaweza...