wapenzi wenye michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mwanaume nyumbani ana goal kutwa anachepuka!

    Yaani jamani unakuta umeolewa na mume, ana mapungufu kibao, kwanza kibamia halitoshi single goal tena goal lenyewe la kuku lakini kutwa anachepuka unaona ni jinsi gani anajidhalilisha kwa kutoa siri za familia kwa kuonesha mapungufu yake live kwa watu! Nyie wanaume tulieni jamani, wake zenu...
  2. Lovelovie

    NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

    Bwana Yesu apewe sifa. Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa. Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga...
  3. BARD AI

    Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
Back
Top Bottom