wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumi za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

    Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana. Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Mchanga Dar na miji mingine ya pwani umetoka wapi?

    Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

    Habari wakuu. Naulizia nyumba ambazo wazee watu wazima wanatunzwa. Nahitaji kwenda kuwasalimia na kuwashika mkono kidogo
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Amechaguliwa vyuo viwili aende wapi??

    Amechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi. Institute of Social Work Kampala University Je aende wapi??
  11. JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  12. JamiiForums Tanzania Zinapatikana wapi Barakoa kama hii ya Edo Kumwembe

    barakoa ina kama kioo hivi hapa ni msafara huu wa mabingwa wa kihistoria kwenda Nigeria mwandishi huyu
  13. JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamepotelea wapi?

    Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

    Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuomba grant ya Tsh 500M kwa ajili ya project yangu?

    Habarini wanaJF, Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania. Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake. Nasubiri muongozo wenu wakuu.
  17. JamiiForums Tanzania Mambo yako wazi, tunakwamba wapi wanadamu?

    UINGEREZA Kwa mujibu wa ripoti yao: Asilimia 80% ya waliokufa kwa ugonjwa wa sasa Mwezi uliopita (Agosti) walikuwa wamechanjwa. Maana yake ni kuwa, kwa kila vifo 100, vifo 80 ni waliochanjwa. Vilevile, kiwango cha wanaolazwa ni asilimia zaidi ya 70% kwa waliochanjwa. SOURCE: Public Health in UK...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  19. JamiiForums Tanzania Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

  20. JamiiForums Tanzania ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…