Hao watu wamekuwa wasumbufu sana, wezi na wapigaji sana, wamekuwa wakiongeze bei ya vitu hali inayosababisha ugumu wa maisha.
Mfano mpiga debe analipwa kila kichwa anachopeleka kwenye gari hizi pesa zinakuwa za huyo msafiri mfano nauli ingeweza kuwa 10000 inapanda mpaka 12000 ili mpiga debe...
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli Bus Terminal.
Kwanza Daladala ikiwa inaingia hasa majira ya asubuhi ambapo kuna mpishano wa...
Jana 2.9.22 majira ya saa saba mchana police walionekana kuwakamata wapiga debe maeneo mbalimbali ya mji wa Iringa ikiwemo pale daraja la mto Ruaha, polisi hao walimkimbiza mmoja wa wapiga debe naye akakimbila kwa kasi kuelekeo unakotokea mto Ruaha.
Hata hivyo polisi hao hawakukata tamaa...
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero.
Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
Kwa muda mrefu hawa wapiga debe wamekuwa sio tu kero bali pia wanaongeza kupanda kwa nauli za mabasi.
Yaani hata wenye vyombo vya usafiri twawaogopa. Hata ukiwa na gari yako binafsi huwezi kuchukua abiria au hata kumpa lifti jamaa yako kwa kuwa tu wao huwa wanajimilikisha hao abiria na...
Mama mmoja wa umri wa kati ya miaka 65 na 70 alipita pale stand ya mabasi CHATO na kukaribishwa na wapiga DEBE huku wakimhoji anasafiri kwenda wapi. Katika kujieleza mama huyo aliulizia ofisi za NIDA ziko wapi ili akapate huduma ya vitambulisho.
Wale wapiga debe walimuuliza yule mama ni kwa...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenzi
wakurugenzi wa halmashauri
wapigadebe
wilaya
Natanguliza pole kwa wote waliolishwa mbwa hapo nje ya stand Msamvu. Nimefanikiwa kukagua eneo liko swari na kuna kijana anauza mishkaki halali ya nyama inayosadikiwa kuwa ya ng'ombe. Ila nilibaki na swali tu, ikiwa moro wametafuna mbwa hivyo sio zaidi Dar ambako watu wanakula hovyo vimishikaki...
Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.