Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Ameongeza kuwa, wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha...