Imepita takribani zaidi ya miaka 60 tangu uhuru, lakini maisha ya Mwafrika hayana tofauti na ya mbwa Koko, ambaye hajui ale nini au avae nini.
Ukitumia akili ya ndani, utagundua kuwa kabla ya uhuru, Waafrika walikuwa na maisha bora, ikiwemo uhakika wa lishe, ajira tele mashambani na viwandani...
BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika.
Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao.
https://youtu.be/3PyU0Qx-7MU?si=qyZ9R-NZCnD2AKX9
Leo tarehe...
Katika kuthamini mchango wa kiongozi mkuu wa Hamas aliyefariki, Ismael Haniyeh tunaweza kuchukua mafunzo machache katika uongozi wake.
Kutokana na huzuni ya kumpoteza kiongozi huyo sitokwenda mbali kuangalia historia yote ya maisha yake.Machache ninayoweza kuyataja ni kama ifuatavyo.
Alizaliwa...
Kutoka kwenye jarida hilo
Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki.
Jarida linasema wapigania uhuru wengi walikuwa ni watu wenye akili kubwa na maono makubwa na nchi zao kuliko viongozi wa sasa ambao wao...
Salaam kwenu.
Ni kweli lengo la kupigania Uhuru wa Tanganyika, lilikuwa kuwafanya wananchi ama raia kuwa huru kuchagua aina ya uongozi na viongozi wanaotaka, kujiamulia mambo yao ya Kiuchumi, Kisiasa na Kiutamaduni bila kuingiliwa na kikundi ama mataifa ya nje.
Lakini tujiulize hapa, baada ya...
One Texas Secessionist Who Fled Into Mountains Is Killed
A member of the militant secessionist group known as the Republic of Texas was shot and killed today in a gun battle with the Texas authorities in the Davis Mountains here.
The man was one of two group members who fled on foot on...
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru
Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa pamoja walikuwa katika TANU mstari wa mbele wakipigania uhuru wa Tanganyika.
Nyumba ya Bi. Mwamtoro...
Ninasoma Kitabu hiki cha Mzee Mohamed Said kuhusu Waislam kutengwa katika Historia rasmi ya wapigania uhuru.
Hapa chini nimeweka nukuu kutoka kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ambacho kinaeleza namna waislam walivyotengwa na historia ya Uhuru. Nukuu hii ikionyesha kuwa Aziz Ally na Kleist...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki.
Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba.
Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake.
Picha hiyo hapo chini ni viongozi wa TANU wakiwa na Mwalimu Nyerere katika miaka ya mwanzo ya uhuru...
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika.
Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya...
Salaam,
Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma.
Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini.
NB: Tunaomba zoezi la...
Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu, inasemwa na baadhi ya wajukuu wa watu waliopo kwenye picha hiyo...
Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika:
Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ali Msham amefanya mengi ambayo...
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
WATOTO WA WAPIGANIA UHURU WANAPOINGIA KATIKA MASANDUKU YA NYARAKA ZA MAREHEMU WAZEE WAO
Nimepata kusema hapa siku chache zilizopita kuwa historia nyingi ya TANU na harakati za kupigania uhuru ipo katika mikono ya watu binafsi.
Kwa zaidi ya miaka 20 nilikuwa natafuta picha ya Ismail Bayumi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.