wapinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

    Salaam Wakuu, Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao. Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro. Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
  2. Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

    Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi. Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma. Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
  3. T

    BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  4. Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  5. #COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  6. #COVID19 Wapinga chanjo (Gwajima et al) wana macho lakini hawaoni

    Inawezekana ugumu wa kuelewa hurithiwa. Coverage ya chanjo ya gonjwa la Covid Uingereza ni zaidi ya 70% . Angalia viwanjani kwenye premiere league England ni full. Watu hawavai barakoa tena viwanjani. Njoo huku bongoland unawakuta much know just for political gain, wahamasishaji kuzuia watu...
  7. #COVID19 Rais Samia atupa kijembe kwa wapinga chanjo ya UVIKO-19. Asema hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa

    “Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu". “Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
  8. Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  9. B

    John Mrema: Tuwatambue Mamluki Wapinga CHADEMA kwenye Runinga

    Habari hii inajieleza wazi: John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao. Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa. Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti. Aluta Continua.
  10. N

    #COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

    samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo...
  11. Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

    Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya! Source: TBC1 Habari
  12. Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

    Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…