wapinzani kumkwamisha bungeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. George Betram

    Wapinzani wafyatua mabomu ya machozi bungeni nchini Serbia

    Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa. Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga kura kuhusu ufadhili wa elimu ya juu, ambapo upinzani ulidai kikao hicho si halali kabla ya...
  2. ChoiceVariable

    Rais Faye wa Senegal aanza visingizio baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizotoa baada ya kuapa kuwa Rais. Awashutumu wapinzani kumkwamisha Bungeni

    Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya siku 100. Serikali ya bwana Faye inasingia Bunge Kumkwamisha ambalo lina Wabunge wengi wa...
Back
Top Bottom