Huwezi ukawa serious unataka mabadiliko Utapokea Rushwa toka chama tawala.
Huwezi kuwa serious unahubiri mabadiliko ukapokea maelekezo toka chama tawala nani agombeee na Nani asigombee.
Huwezi kuwa serious kabisa unataka mabadiliko ukapokea maelekezo ni lini udai haki zako wakati ni haki...