Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge wake ili waunge mkono muungano wa Kenya Kwanza anaouongoza.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa...