Usiku wa tarehe 26 kuamkia 27 January 2025,gereza la Munzenze huko Goma, lililokuwa na wafungwa 4,475, badhi ya majengo yalichomwa moto na wafungwa, waliokuwa wakifanya jitihada za kujinasua, kutokana habari iliyokuwa imeenea mji kuwa kundi la M23 linakaribia kuuteka, na huku walikuwa wakisikia...
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia katika ajali ya gari baada ya basi la kampuni ya Nyehunge kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Asante Rabi.
Ajali hiyo imetokea leo Oct 22, 2024 majira ya alfajiri katika eneo la Ukiliguru, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
===
Watu wanane wamefariki...
My Take
Kila siku hapa Tanzania Kuna ajari inatokea inayoua watu na chanzo mara zote ni uzembe wa madereva.
Swali,Je Serikali mumeshibdwa kuja na Sheria Kali za kuwadhibiti Hawa Madereva wanasababisha ajali Kwa uzembe?
---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva Alfredy Baharia...
Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha.
Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura.
Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
Takriban watu 32 wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Uturuki baada ya magari kuwagonga watu waliokua wakitoa msaada kwenye ajali iliyotokea eneo hilo
Ajali hiyo ilihusisha Basi moja lilillopinduka eneo la Gaziantep Jumamosi asubuhi, na kuua watu 16 huku wengine 21 wakijeruhiwa
Saa...
Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60)
Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili - waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja na mauaji, wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 katika Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Sengerema...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto.
Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee.
Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo...
Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha.
Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.