wapotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndoa sio Gereza. Wanaosema Ndoa ni Gereza na ndoano ni wapotoshaji Wakubwa

    NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo. Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
  2. M

    Dau kubwa lililowekwa na Belouzdad ndilo lililomuondoa Ramovich, naipongeza idara ya habari kuwadhibiti wapotoshaji

    Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka! Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
  3. Vijana wa CCM "tujipange" kuwajibu Hawa "wapotoshaji" wakubwa...

    Habari wanaBodi.. Mara kadhaa Kila ninapofatilia mijadala humu, hasa Jukwaa la siasa, hua napata ukakasi kidogo na tashtwiti ya kujua Nini hasa kipo nyuma ya pazia.. Ukiangalia Jukwaa la siasa hoja nyingi Sana zinazowekwa humo ni spana za kupinga "mazuri ya viongozi wetu" katika kutuongoza...
  4. Pre GE2025 Mbunge ashauri Serikali kuajiri vijana wa kujibu 'wapotoshaji' Twitter

    Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii. Mbunge huyo amedokeza kuwa Serikali mara nyingi imekuwa kimya pale ambapo taarifa zisizo sahihi...
  5. Mbunge Subira Mgalu: Bandari ya Dar Haijauzwa Puuzeni Wapotoshaji

    MBUNGE SUBIRA MGALU: BANDARI YA DAR HAIJAUZWA PUUZENI WAPOTOSHAJI Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Pwani na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Subira Mgalu amewataka wananchi wa wilaya ya Biharamulo na Tanzania kwa ujumla kutokubali upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu juu ya...
  6. S

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  7. Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  8. T

    Kanali Kinana, mtaalamu wa kufukia mashimo. Wapotoshaji watasulubiwa kimya kimya

    Katika karata muhimu CCM waliyocheza ni uteuzi wa Kanali Kinana katika nafasi ya Umakamu mwenyekiti, uwepo wa Kinana ni kuhahakisha ushindi kwa chaguzi zijazo. Ukiachana na sifa nyingine nyingi na za kutukuka katika utendaji na uongozi hasa ile ya uchapakazi lakini Kanali Kinana anaonekana ni...
  9. Tusiwazibe midomo wapotoshaji, bali tufunge masikio yetu na kuwapuuza

    "I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it" Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…