Kuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao:
Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi, lakini anatumia muda mwingi kuhubiri kuwa Mungu hayupo. Anasema maisha yalitokea kwa bahati tu...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote.
Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi.
Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa wa kidini.
Kwanza, wanakijiji waislamu wamejenga upande wao na wakristo wamejenga upande wao...
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu.
Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo
Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.