waraka wa tec

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

    Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini. Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
  2. Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Wanabodi, Tumsifu Yesu Kristo. Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
  3. Sheikh Alhad Mussa Salum huna ubavu kuufunga mjadala huu

    Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum. Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD. Ameenda mbali na kusema...
  4. Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
  5. N

    TEC ni taasisi ya kidini ambayo watu wake ni Watanzania; msimamo wao ni msimamo wa wananchi wengi

    Habari za asubuhi wakuu, Juzi kati, Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania wametoa msimamo wao kuhusiana na bandari, lakini jambo la ajabu kuna watu wameibuka kuwashambulia kwa kuwapinga na cha ajabu wengine ni viongozi wa dini ya Kikristo! Mimi ni Mkristo, tena Mpentekoste, mwalimu wa neno la Mungu...
  6. TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani. Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake? Au ni bomu limetegwa?
  7. Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  8. Nataka kujua nini kilijadiliwa tarehe 12 na 26 Juni, 2023

    Hii nimeitoa kwenye kifungu cha 6 cha waraka wa maaskofu kwenda Kwa serikali kifungu hichi kinaeleza Baada ya juhudi zao za mazungumzo Kati Yao na viongozi wa juu wa serikali tarehe tajwa hapo juu kutokuzaa matunda maaskofu imewapelekea kuachia walaka Huu kwenda kwa wananchi. Kama walaka...
  9. Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  10. Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

    Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde" Msikilize kwa dakika 8 akitema madini...
  11. Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

    Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...
  12. Wacha nimpe darasa kidogo Mzee Jakaya Kikwete

    Na Mwl John Pambalu Nimeshangazwa sana na kauli ya mzee Kikwete aliyoitoa jana huko mkoani Mara siku moja baada ya tamko la Baraza la maaskofu Katoliki katika kile alichodai kuwa si sawa kuchanganya dini na siasa. Kikwete ambaye marehemu Askofu Getrude Lwakatare alikuwa mbunge kupitia chama...
  13. Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

    Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao. Ni waraka usio na chembe ya udini wala itikadi za kisiasa.. Umetembea kwenye mstari wa katiba na...
  14. Z

    Si lazima Serikali ifuate Waraka wa TEC au BAKWATA

    Serikali kamwe haiwezi kuendeshwa kwa waraka wa TEC wala BAKWATA. Kila mwananchi anayo haki ya kutoa maoni yake lakini sio lazima kila maoni yafuatwe. TEC imetoa waraka wake pia BAKWATA inaweza pia kutoa waraka wake lakini sio lazima Serikali ifuate waraka huo. Jambo la msingi vyombo hivi vya...
  15. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  16. Askofu Almachius Rweyongeza: JamiiForums pekee ndio wameripoti Waraka wa TEC mkataba wa DP World kwa Weledi

    Toka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio wameripoti tena kwa weledi mkubwa, je waraka huo haukukidhi vigezo vya kuw ahabari kubwa? La hasha ulikidhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…