Salaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita.
Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu...