warrantycard

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usiyoyajua kuhusu Biashara ya Simu za Kariakoo, ukijua haya utakuwa mjanja…

    Ugomvi kati ya wateja na wauzaji wa simu, hasa hizi used za Dubai au refurbished, ni jambo linalotokea mara nyingi. Mara nyingi, chanzo kikuu ni pale simu inapoharibika, na mteja anataka kuirejesha ili abadilishiwe. Kuna wakati muuzaji anakuwa sahihi, na kuna wakati mteja anakuwa sahihi. Je, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…