Habari wadau.
Nimejaribu kukumbuka hii love triangle ya Lord eyes, Ray c, na mwisho mwampamba, na naona angalau Hawa wawili Ray c na Lord eyes wanaonekana mahali walipo.
Huyu ndugu yetu aliyeshinda mamilioni ya big brother yupo wapi jamani mwenye kujua, mwenye picha, mwenye taarifa yoyote...