Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo...