Wakiwa kwenye hafla ya chama cha wachezaji NCAA Trump na gavana wa jimbo la Maine Janet Mills wamerushiana maneno baada Trump wakati anahutubia kumuita gavana huyo na kumtaka kutekeleza amri (Executive Order) yake inayopiga marufuku Transgender kushiriki michezo ya wanawake kikamilifu ndipo...
ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023
Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro.
NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi.
Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones dhidi yake huku Azerbaijan ikiishutumu Armenia kufanya mashambulizi ya risasi dhidi ya wanajeshi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.