Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi.
Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones dhidi yake huku Azerbaijan ikiishutumu Armenia kufanya mashambulizi ya risasi dhidi ya wanajeshi wake...