wasababisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugomvi wa nyama ya kenge wasababisha mauaji mkoani Mtwara

    UGOMVI WA NYAMA YA KENGE WASABABISHA MAUAJI MASASI MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limefanikiwa kuzuiya na kutanzua uhalifu kupitia operesheni na misako iliyoendeshwa kati ya tarehe 1 Desemba 2024 hadi 31 Desemba 2024. Katika operesheni hiyo, walikamata wahalifu wakiwemo watuhumiwa wa...
  2. Uongozi mbovu wasababisha kukithiri kwa uchafu kwenye Hospital ya Mawenzi, Mkoa wa Kilimanjaro

    Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali, majukumu ya viongozi wa afya, na athari za mazingira yasiyo safi kwa afya ya umma. Kwanza, wananchi...
  3. Ukame wasababisha Wazimbabwe kuchinja na kula Tembo

    Njaa isikie kwingine tu. Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀]. Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika. Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo. Kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo, serikali yake imetoa ruhusa ya kuchinjwa kwa tembo 200 ili wananchi...
  4. Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  5. Kisa uchawi, Simba yaadhibiwa tena na TFF

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina wakati mchezo dhidi ya Mashujaa Fc ukiendelea kwenye...
  6. Uzuri wasababisha mke kupewa talaka

    Bwana mmoja raia wa Zimbabwe Arnold Masuka (40) ameacha watu vinywa wazi baada ya kuiambia Mahakama hamuhitaji tena mkewe Hilda Mleya (30) kwa sababu ni mzuri kupita kiasi. Arnold mbele ya Jaji Henry Chizvidzo ametoa malalamiko hayo ambapo amesema ametoa talaka kutokana na kukosa usingizi...
  7. Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  8. Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  9. Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

    Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali. Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3. Baada ya kutambua kua...
  10. Akili kubwa: Ubunifu wa kijana Mkenya wasababisha apokee hela ndefu zaidi ya balaa

    Yaani tu basi............. A Kenyan, on Wednesday, September 8, scooped the most coveted continental award bagging Ksh165 million at the African Green Revolution (AGR) summit. Kenyan entrepreneur, Jehiel Oliver, won the inaugural Agriculture, Youth and Technology (AYuTe) Africa Challenge...
  11. Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…