wasafi bet

Wasafi Classic Baby (more commonly known as WCB or WCB Wasafi) is a Tanzania-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  2. Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

    Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni; 1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa 2. Nawezaje kupata mfumo wa betting 3. Leseni yake inapatikanaje 4...
  3. Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  4. M

    Nani yupo nyuma ya Wasafi Bet

    Kuanzisha kampuni sio jambo la kitoto ni kazi inayohitaji investment kubwa na ya kutosha. Nadhani Diamond Platnumz peke yake hawezi anzisha kampuni ya kubet bila backup. So ninani yupo nyuma ya Wasafi Bet? Nani aliyewekeza kwa kupitia mgongo wa Diamond.
  5. N

    Wasafi Media wana beef na M-BET?

    Achilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?
  6. S

    WASAFI BET Tuonyesheni Kodi mnayotukata, na Kwanini Mnatukata 20% badala ya 15%

    Wakuu Kwema, Leo Mapema nilikua nimejisajili kwa Hii Kampuni nione labda ina nini Kipya wamekuja nacho tofauti na Makampuni mengine yaliyoko. Nikasuka Mkeka wangu, treni la leo leo odds kama 384 hivi (ukilitaka hilo behewa hili hapa Online Sports Betting |Best Odds and 2MB App| WasafiBet code...
  7. Tuhuma: Logo ya Wasafi Bet yafanana sana na logo ya kampuni iliyopo nchini India kuna janja janja imetumika?

    Kuna tuhuma zinaanza kuenea taratibu, Inasemekana logo ya Kampuni mpya ya Wasafi Bet imefanana sana na logo ya kampuni ya Wily Trchnology Pvt Ltd, inayoshughulika na masuala ya IT nchini India...Baadhi ya wadau wanasema logo ya Wasafi Bet imetengnenezwa kwa kutumia mfumo wa copy & paste kama...
  8. Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
  9. Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

    Diamond sio mmiliki mkuu wa makampuni kama wasafi tv, wasafi radio, wasafi bet, Diamond karanga (r.i.p), yeye nafasi yake huwa ni co-owner, anachofanya ni kuwekeza tu jina lake na kuchukua asilimia zake kwenye faida. Uhakika wa 40%-49% ya umiliki na faida upo chini yake kwa kutoa tu jina wasafi...
  10. Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

    Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
  11. Diamond atambulisha Wasafi Bet

    Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni hiyo na kuipa Jina la WASAFI BET.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…