Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART Mwendokasi ) umesema kuanzia mwezi March mwaka huu wa 2025 utasitisha rasmi matumizi ya tiketi za karatasi katika usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka na badala yake Watumiaji wote wa Mabasi watatakiwa kutumia kadi janja ambazo zinaendelea kuuzwa katika vituo...