wasafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RIGHT MARKER

    KERO Wasafirishaji wa abiria jijini Tanga badilikeni

    • Mhadhara (80)✍️ Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo. Tanga ni jiji zuri sana lakini linadorora kwasababu ya uvivu kutoka kwa wenyeji. Ukichelewa kufika...
  2. Erythrocyte

    Namanga: Mawakala wa forodha pamoja na Wasafirishaji Wagoma

    Taarifa zaidi hii hapa Mawakala wa Forodha pamoja na Wasafirishaji wenye magari zaidi ya 500 wa Tanzania wamefanya mgomo ikiwa ni siku ya pili katika mpaka wa Namanga uliopo katika Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wakishinikiza kupunguzwa kwa utitiri wa kodi pamoja kutokea kwa sintofahamu kwenye...
  3. mwanamichakato

    Tra-forodha watafakari athari za maelekezo kwa wasafirishaji mizigo kimataifa (transit)

    Tanzania ni lango kuu la kupokea,kisafirisha mizigo inayoingia na kutoka ktk nchi takribani 7.Uwekezaji mkubwa ktk bandari zetu na miundombinu ya Reli,barabara,Mabomba na anga ni ushahidi tosha wa umuhimu wa taifa letu kijiografia. Kila mwaka tunapokea mamilioni ya shehena za mizigo mbali mbali...
  4. A

    Wasafirishaji mizigo kutoka Bangladesh kuja Tanzania

    Habari Wanajamii, ni kampuni gani inayosafirisha mizigo kutoka Bangladesh kuja Tanzania? Asanteni
  5. Tlaatlaah

    Mtetezi wa wasafirishaji amepandisha nauli, mtetezi wa wasafiri mbona kimya?

    Kupanda kwa nauli za daladala na mabasi ya mikoani kungeendana na maboresho ya huduma husika. Mathalani miundombinu ya stendi, mfano sehemu za kupumzika abiria, muda wa kuondoka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, ubora wa vyombo vya usafiri na unadhifu wa watoa huduma nakadhalika na...
  6. A

    DOKEZO Maafisa wa TRA (TMU) wakishirikiana na Wakala wa bandarini kuwadhulumu wasafirishaji

    Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa. Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU...
  7. DUMEGUY

    Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  8. Erythrocyte

    Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
  9. USSR

    Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  11. Esokoni

    Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao. Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
  12. B

    Hali mbaya ya mafuta, wasafirishaji wasibughudhiwe

    Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol. Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele. Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu. Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali...
  13. L

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M. Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili...
Back
Top Bottom