Yani hii Tanzania ukienda mikoa nje ya Mbeya, ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa na kabila gani, fasta mtu anakujibu wanyakyusa lakini ukweli ni kwamba wasafwa ndio wenyeji wa kihistoria na hata hili jina la Mbeya lina asili ya neno la Kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi, kilotokea nini...