Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Nsikuchoshe na usinchoshe,Tusichoshane!
Kwa namna Hali inavyoendelea Kuwa mbaya katika jamii hasa mambo wanayoyafanya hao mabinti wanaoitwa "wadada wa kazi" nimeona na Mimi angalau nikatoa ushauri Kwa jamii hasa hao waajili "Mabosi" Ili kama kutakuwa na hatua za kuchukua zichukuliwe ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.