Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama
Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion?
Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
SURA YA KWANZA
ASUBUHI YA HEKA HEKA
Utangulizi.
Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la kulinda raia na mali zao lakiniilitosha jina lake kusemwa katika korido za makao makuu yajeshi hilo na...
Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako
Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako?
Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi?
2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC
"Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule.
Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
Hellow,
Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani.
watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni...
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.
Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo.
1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi.
2. H/maushari kuu ya CCM wilaya.
3. Kamati ya Siasa wilaya...
Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF.
1. Polepole
2. Kabudi
3. Nasari
4. Kafulila
Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo.....
1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi
2. Mratibu Abbas Suleiman
3. Kocha Msaidizi Selemani Matola
4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC...
Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi.
Amesema...
Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM.
Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
chadema
chamwino
chuki
dodoma
furaha
ikulu
ikulu chamwino
kali
kitaifa
mbowe
picha
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
suluhu
tujifunze
viongozi
viongozi wa chadema
wakutana
wasaliti
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa...
Kwa sasa Serikali ya Tanzania hasa Bara kuna wasaliti flani ambao ni wahaini hawana utii sio tu kwa mamlaka bali hata kwa kiongozi mkuu wa nchi. Ni wazi kuwa ile dhana inayoogopwa ya government inside the government inajionyesha sura yake katika uongozi wa serikali wa awamu ya sita.
Dhana ya...
26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe .
Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.