Kwenye kitabu The prince cha Niccolo Machiaveli kuna sura nzima inazungumzia ubaya wa wanajeshi mamluki.
Anasema mamluki hawapigani kwa moyo hivyo ni rahisi kudhindwa ukiwa nao, anasema hawapigani majira ya baridi, hawapigani usiku, hawajihangaishi kujenga ulinzi kuzunguka kambi, na wala...