Kuna uhakika na kuaminika kwamba, Wasambaa ni moja ya makundi ya Wabantu wanaotokea Afrika Magharibi na Kaskazini wakipitia nchi za Ethiopia na Kenya. Wasambaa ni tawi lilomegega kutoka kwa Waasu/Wapare. Wachaga n.k. pindi wakiwa safarini kuja Tanganyika miaka zaidi ya mia nane (800) iliyopita...