Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?.
Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda Korea wasanii 40 wa tasnia ya bongo movie kwa ajili ya kwenda kujifunza mambo ya tasnia ya uigizaji...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.