Katibu mkuu wa Wizara ya Sanaa amewataka Wasanii nchini kufanya mambo makubwa kama Filamu ya Royal Tour inavyoitangaza Tanzania duniani Kote
Aidha Msigwa amesema wimbo wa Diamond uitwao Kamasova unafanya vizuri sana duniani kote
Msigwa amewataka Wasanii nchini kuwaiga Diamond na Kanumba katika...
Huyu hapa ni yule anajiita Steve Nyerere. Yuko business class.
Pia soma
Bajeti ya kupeleka wasanii Korea ingenunua hata Mwendokasi moja itupunguzie shida
Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.