Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda Korea wasanii 40 wa tasnia ya bongo movie kwa ajili ya kwenda kujifunza mambo ya tasnia ya uigizaji...