Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.
Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha ya wasanii kwamba kila wakiumwa wao ni 'kuomba serikali iwasaidie kuwatibu kana kwamba wao...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Damas Ndumbaro amehimiza na kuwasisitiza wasanii kujiraismisha ili kurahisisha mipango ya Serikali ya kuwatafutia fursa mbalimbali kwa kuwa sanaa ni ajira inayoingiza kipato.
Mhe. Ndumbaro ameyasema hayo Juni 14, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.