Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari...
Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.
Ni Baba Levo huyu huyu ambaye...
Wakuu,
Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.
Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.
Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline.
CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na...
Wakuu,
Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture.
Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila naona nae kashakuwa chawa wa mama.
Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu mshaingia studio kutunga...
Wakuu,
Kwenye events hizi mbili za mwisho za CCM kuna kitu nimejifunza.
Unakuta msanii anaenda ku-perform huko CCM alafu anavaa manguo ya CCM then akienda kwenye vyombo vya habari akiulizwa yeye ni CCM anakataa anasema alikuwa tu kazini.
Sasa kama ulienda ku-perform tu kama kazini, mnaenda...
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.
Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya...
Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa.
Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.