Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Naambiwa huyu ni msanii wa bongo fleva. Sasa hivi kutembea uchi ni usanii gani?
Hana wazazi au ndugu huyu msanii? Unaweka wazi machupi yako ndio usanii?
Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani mashabiki wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.