Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.
Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha ya wasanii kwamba kila wakiumwa wao ni 'kuomba serikali iwasaidie kuwatibu kana kwamba wao...